
Nikabaki ata sielewi, nikaona basi apa kweli sitakiwi, mpaka mwanaume kahama na hajanambia lolote kweli, oooh my god, basi mie nikasema sawa asante sana dada, yule dada akasema sawa ,karibu sanaaa, basi mie nililolowa jamani, yani uyu baba ,yani sawa bwana, basi mie taratibu, nikaondoka zangu, ila nilikuwa na maumivu sana, mana sielewi kwani nimemkosea nn uyu mwanaume lakini, mbona sijamfanya chochote lakini, basi nikarudi mpka nyumbani nipo hoi, tena nilichelewa sana, nimefika home saa 4 ya usiku, lakini kwa jinsi ambavyo sijuwa powa, sikutaka ata mazingumzo na mtu, nilimwambia tu mama nimechelewa kwa ajili ya kazi , na nikaingia
0 Comments