
Aseeeee nilimuangalia mama kwa hasira, nikahisi kabisaaa uyu mama anataka kuniua na mm, yani tumempoteza kabisaaa dada nasila kwa ajili ya hizi mila , lakini hawazi kabisaaaa na wala haogopi kuhusu mimi na bado anataka kunipeleka uko uko ma mimi nikafanyiwe jamani , aseeeeeee mimi sikutaka kabisaaaaa , basi kweli mm hii siku sikuenda shambani, nilibaki ndanintu na mda wa mchana, walikuja makungwi wawili na wakaanza kunielekeza juuu ya kuishi na mume wangu baada ya kufunga ndoa , alafu sisi uku kwetu hatunaga ndoa za kidini, uku ndo ni za kimila tu , aseeeee walinifundisha mengi mnoooo , yani mpaka
0 Comments