
Alikuwa wala hakai mbali na pale dukani kwake, na alipanga chumba chake kimoja tu, tena ni cha giza, nilimueelewaa nazani na yeye ndo alikuwa anaanza maishaa, basi akanikalibisha mpaka ndani kwake, nilikuta kaweka gadoro lake chini, ila ni msafi sana , japo godoro halikuwa na hali nzuri, ila lilitandikwa vizuri mnoo basi nilipoingia ndani, aggy akanichemshia mji kwenye heater, yalipochemka akaniwekea kwenye ndoo na akanizimulia kabisaa, akanambia twende nikupeleke uoge kwanza nikasema sawa, kweli mie nikajikokota , nikatoka njeee. Na aggy akanipelekea maji mpaka chooni, mie nikaingia kuogaaa, nilipomaliza sasa nikarudi chumbani, nikamkuta aggy anamalizia kusonga ugali, na kitandani alishaniekea
0 Comments