
THE HOLY PROSTITUTE SEHEMU YA 05 Julius kuwa na adabu, kwann unamuongelea kama mtu unaemchukia sana, embu nambie amekukosea nini? Akauliza japhet .. Julius alicheka kwa dharau kisha akasema “ tangu lini mimi nikawa na muda wa kuchukiana au kugombana na Malaya, naomba uniheshimu, nilikuwa nakupa tahadhar tu kuwa huyo mwanamke ambae unamuona kama rafiki ni changudoa, tena wale machangudoa waliobobea kabisa, yaan hachagui umri wala rika, hawaangalii sura wala tabia, wao ni pesa tu, yaan pesa ndio kipaumbele chao, so nikama nilikuwa nakupa tahadhar tu, kwa maana nakuona kama umeshachanganyikiwa sana, akawa anasema Julius .. Nina uhakika haumjui huyu
0 Comments