
Nakuuliza ww,unanijibu mm usenge, unavaa pesa yangu unakura pesa yangu, iki kiduka unacholingia ni pesa yangu nna uwezo wa kukipiga moto, ukatulia nyumbni mshenzi ww, unakuja kujionesha onesha uku utongozwe si ndio, mie nikabaki kimya nalia tu, basi hakuishia apo akaongea nakwambia kwa hasira mnoo, alipolizika akatoka zake njeee, basi dada zangu wakanifata wakanambia basi madame amka sasa wateja bado wanakuja, nikasema sawa, basi mie.nikainuka nikaenda kukaa kwenye kiti, ata sikuwa sawa tena, apoo ni.kanipiga kofi la shavu, na ana mkono mbaya teali nishatutumuka, mnajua niljisikia vibaya, sawa kanifungulia duka , asa mbona kama nasimangwa tena, naanza kuambiwa mpaka nlishwa
0 Comments