
Nimiaka mingi imepita nimelea mwenyewe sasa huu muda anajielewa anakutaka babaake Sina budi kumleta umjue nae ajue kuwa anababayake mzazi Crisis alipigwa mshangao kwa muda akamuuliza kaira kwanini unapenda kucheza na akili yangu tafadhari acha usizani mke wangu hawezi kubeba mimba Naomba kaa mbali na maisha yangu uligundua nakupenda sasa unavyodhani unaweza kunichezea tuu akili yangu utakavyo Kaira alijibu unavyodhani kama nikucheza na akili yako yangepita masiku mengi hivi kwanini nikutafute leo na kuhusu mkeo anaweza kubeba mimba sijakuuliza Nijukumu la kila mwanamke hivyo sishangai ilitokea tuu ile mala ya mwisho tulivyo lala pamoja ulikuwa umelewa sana Na asubuhi yake
0 Comments