NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 144 na 145

NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 144 na 145

Basi nikasems sawa, aggy akanituliza akanmbia basi tuliza presha ,na mm akinipigia simu kanmbia sijuh umenuna mm nitamchamba hataamini ngojaaa, nikasema sawa , basi mla nikasikia anaingiza gari, mie nikamuaga aggy haraka kisha nikajilaza kutandani, na kweli nikasikia anafungua mlango wa ndani akaingia ,kisha akapanda chumbani kwetu, alivyonikosa sasa, ndo akaja uku chumbani nilipo, akanikuta sasa nimajilaza kitandani, nollan akanisogelea akakaa pale kutandani, akanmbia ahaaa nase, mke.wangu, nisamehe ,nimekosea mama, nilizidwa na hasra, nilimuinukia uku nalia, nikamuuliza hasira mm nimekufanya nn, nimekukosea nn, au ukivurugwa na mambo yako unakuja kummalizia hasira zako nase eeh, ina mana ata kama nimekukwaza unashindwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments