
Mwandishi; Lissa wa huru media Basi nikafika ndani nikabamiza mlango wangu, nataka kugunga naona umesukumwa na yeye kaingia, nikamwambia unataka nn, au hautaki pia nikae kwako niondoke, akasema no mke wangu, sio hivyo nase mama yangu, yani ahaa ahaa, nyieee ata kuongea akawa hawezi. Apoo namuonea huruma, natamani kumwmabia badi yameisha, mana naona kabisa anateseka ila nilikuwa naona dawa haijamuingia, basi akanmbia sikia mke wangu, nambie basi unataka nn, nambie hii kesi iishe tuishi kwa amani mpenzi, mimi sipend narudi home nakukuta hivi nase, au umepata mwanaume uko nje hunitaki tena mm, nikabaki kimya namuangalia, Basi akajiongelesha apo, akajiombesha msamaha
0 Comments