
Basi bibi mie cha kudeka, nikaanza kusemaa namtaka aggy aje kunikaliza uzazi , nollan akanmbia sawa, kweli akaongea na aggy na aggy wala hakuwa na shida akakubali vizuri, tena akaacha kazi zake zote shoga yangu kwa ajili yangu, basi kweli nollan akamtumia nauli na akaja , akakaa kwangu mwezi mmoja, nakwambia sina shakaa mpaka nikanenepa ,yani mie nikiwa na aggy nakuwa na amani zote, yani aggy alikuwa ananmbia dada kama kupendwa unapendwa ,tulia tu, nikawa nabaki kuchekaa, basi baada ya mwezi ndo aggu akaondoka sasa, moe apoo nipo fresh kabisa na nishapona. Na mwanangu ndo ana mwezi, cha kulia ,mh
0 Comments