
SEASON 7 151 MPK 155 🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈 Basi ikabidi sasa nianze kumbembeleza mpenzi atulie , na kweli akatulia, ila hii siku ata haikuisha kwa amani tena, yani nollan alikuwa kimya, yani ata kula hakula , nilimbembeleza ale ata kidogo ila akanmbia hapana hawezi kula kwa sasa ikabidi nimuache tu, basi akanmbia nimuache mwenyewe anahitaji kupumzika, nikasema sawa, na kweli nikamuacha tu, apumzike, na ata usiku hakula nollan ,yani hakuwa na raha kabisaa, nikajua ni ana mawazo juu ya mama uyu, unajua ile mama yake kaondoka vibaya, nikaona ndo inampa mawazo ,basi hwana ,mida ya saa 4 usiku. Nikamtengnezea chai, nikachukua na
0 Comments