
...... ENDELEA...... Kesho yake ilifika. Majira ya saa tano asubuhi Jafari alinitumia ujumbe. "Baadae nakuja. Nimemiss sana tunda langu. Nakuja unimegee walau kidogo tu Nadra wangu". Kwakuwa nilikuwa chumbani nilimpigia simu. Muda mchache alipokea. "Unasemaje wewe?". Niliongea Kwa paniki. "Sitaki Nadra. Andaa mazingira mazuri tu". Jafari aliyasema hayo. "Tafadhali Jafari usinifamyie hivyo please!". Jafari alikata simu. Nilihisi kuchanganyikiwa. Nilimpigia simu mama yangu na kumueleza. "Inamaana hujameambia mume wako mpaka Leo?". "Naogopa mama, naanzia wapi kumwambia Samir. Unadhani atanichukuliaje". "Kwaiyo utaficha mpaka lini. Hivi unajua kuwa dunia hii Haina Siri. "Najua mama Sasa nitafanyaje. Wallah nampenda mume wangu ndo maana naogopa
0 Comments