
ENDELEA...... Samir alisimama Kwa hasira na kumkwida shati Jafari. Jafari Wala hakuogopa. Nadhani alikuwa anajiamini kwasababu alikuwa mtaani kwake. "Kwani kusema ukweli dhambi broo huo ndio ukweli na kama utalazimisha sawa nitamuoa ila kaa ukijua tu sijawai kumpenda kwanao kwaiyo ni sawa na kumpeleka motoni". Jafari aliyasema hayo. Samir alimuachia na kukaa kwenye kiti. Jafari aliendelea kunywa zake bia Hana bahari kabisa. Samir alikuwa anamtazama tunhakuelewa amfwnyaje. "Sawa nimekubaliana na maneno Yako ila kuanzia Sasa usije ukajitokezq Tena kwenye maisha ya mwanangu. Yaani Fanya kama vile umekufa asikuone Tena. "Kwa hilo usijali". Samir aliondoka alimuacha Jafari anaendelea kunywa bia. Siku
0 Comments