NYOTA YANGU SEASON 2 SEHEMU 28

NYOTA YANGU  SEASON 2  SEHEMU 28

ENDELEA...... Tuliongozana na mume wangu kuludi nyumbani. Ndani ya gari mume wangu aliniambia atanibadilushia laini ili Jafari asinipate kabisa. Tulifika nyumbani majira ya saa tatu usiku, tuliwakuta familia imekaa sebleni. Mwanamiss baada ya kutuona tumekudi wote aliuliza. "Kwaiyo ukaona ukimbilie kazini Kwa Samir si ndiyo". Swali lake lilitushangaza Mimi na Samir hasa mimi nilijiuliza huyu ana maana gani kusema hayo. Naona alijishtukia baada ya kusema hivyo. Alianza kuzuga kujiongelesha mengine, Bado niliendelea kushangaa. Samir alielekea juu chumbani. "Hivi wazazi hawajambo?". Mama mkwe wangu aliniuliza. "Wote hawajambo wanakusalimia". "Nimesalimika mwanangu". "Sawa mama nipo juu chumbani. Niwatakie usiku mwema". "Na kwako pia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments