NYOTA YANGU SEASON 2 SEHEMU 30

NYOTA YANGU  SEASON 2  SEHEMU 30

ENDELEA....... Nyie nilihisi furaha ya ajabu sana siku hiyo. Nilimtazama Samir mume wangu Kwa furaha. Samir alinisogelea pale kitandani na kunikumbatia kw furaha. Samir alifurahi sana sana. Hakuona aibu kunimiminia mabusu kama mvua aisee. Alinibusu uso mzima. Mwanamiss alikuwa amenuna balaa sema aliigizia furaha ya kinafki tu. Doctor alinishauri niwe mtulivu maana mimba za kwanza Huwa sinasumbua sana baada ya hapo aliondoka na kutuacha familia tukiwa na furaha. Kwa mbwembwe za wakwe zangu. Walienda kunipikia supu saa tatu za usiku eti mjukuu wao atakuwa na njaa maana sikula vizuri ndipo nilianza kutapika. Mwana alijisikia vibaya namna Samir na mama zake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments