NYOTA YANGU SEASON 2 SEHEMU 31

NYOTA YANGU  SEASON 2  SEHEMU 31

ENDELEA..... Baada ya kumaliza kunywa supu. Mume wangu alianza kunibembeleza nilale. Aliniimbia nyimbo ya nakupenda ya Jay melody. Nyie furaha niliyokuwa nayo haielezeki. Aliniimbia nyimbo nyingi mchanganyiko za mapenzi tu mpaka nilipitiwa na usingizi.palikucha asubuhi ni siku ilivyokuwa mpya sana kwangu Mapenzi mapya yalizaliwa kati ya ngu ma Samir wangu. Samir hakukifucha kunifanyia mambo ya huba mbele za mwanamiss na mwanae. Siku hiyo nilishangaa pia Najma ananifurahisia sio yule wa makasiriko Tena. Siku hiyo Samir alichelewa kwenda kazini kwaajili yangu. Saa nne asubuhi aliondoka kwenda kazini na kimsisitiza mama yake amiwekee umakini. Upande w Samira na mama yake walikuwa chumbani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments