
ENDELEA......... Najma alikubali kushindwa, Samira alienda jikoni Kwa mala nyengine kunipikia maziwa. Najma alimfuata huko huko jikoni alimsimamia akimzuga na vistory. Samira alimaliza kupika maziwa akiwa sambamba na Najma. Najma hakutaka kumpa nafasi kabisa. Aliniletea maziwa mama yake alimuuliza Kwa ishara vipi. Samira alijibu Kwa kutingisha kichwa kuwa imeshindikana. Majira ya jioni mama wa mwanamiss, mie nilielekea chumbani kwangu kupumzika. Samira na mama yake walikuwa chumbani wanaongea Yao. "Nilishindwa kwakuwa Aunt alinisimamia na nahisi anaweza akawa anajua mipango yetu". Samira aliongea hayo. "Hapana sidhani kama anajua maana naamini hajawai kutusikia". Mama yake alimuaminisha kuwa hakuna anayejua. "Sasa mama mpango wa
0 Comments