
Akanikalisha juu ya yale makabati akaanza kunikiss bila ya mimi kutegemea. Alikua anani kisa huku anaminya minya kiuno taratibuuš. Mimi ni mtu sio chuma kwaiyo lazima ningelainika ukizingatia ndio mara yangu ya kwanza kupewa mabusu afu nimekutana na mzoefu. Jamaa akanogewa na mimi tena ndo mabusu yakazidi kumiminika vibaya mno. Akawa hataki kuniachia kabisa yani kaning’ang’ania vibaya mnoš„° Tukiwa katikati ya ule msisimko mzito wa mahaba, mara ghafla nikasikia sauti ya mama ikiniita kwa nguvu huko nje! "Raya! Raya wewe uko wapi?!" Apo ndo Akili ilirudi chap, nikamsukuma yule kaka nikatoa mbio hata sikuaga. Nilipofika nje, mama alinitazama kwa mshangao.
0 Comments