JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 50

JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 50

SEASON THREE( 50) 🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏 wassap:0786796363. Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Nilimuonea huruma sana uyu binti. Na nilijisikia vibaya sana. Niliumia mno. Yani acheni. nilimwambia g kwani kaka alikuwa anakufanyia nini ebu nambie. Akanmbia dada nimechoshwa sana na matendo ya mumeo. Nimechoka mno. Na nnaumia sana dada . Ananifanyia mambo mabaya sana kaka. Anapenda sana kuningilia tena kwa nguvu dada. Mimi nimechoka .nimevumilia sana na sikukwambia nikiogopa nitakufanya uvunje ndoa yako. Ila yamenishinda dada .naumia sana tena naumia mno. Na nimechoka sana na ndo mana leo nimeamua kukwambia naomba niondoke nikaendelee na maisha yangu sehemu nyengine. Mh niliganda kwanza. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Nikasema g tangu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments