PENZI LA JIRANI SEHEMU YA : 7&8

PENZI LA JIRANI SEHEMU YA : 7&8

07 Baada ya kumaliza usafi, tukanywa chai then mama akaenda kuoga. Alipoenda kuoga tu nikawa nimepata upenyo wa kwenda kwa kaka jirani! Mpaka mda huo sikua najua jina lake wala mama mwenyewe hakua akijua jina lake. Nilifika mlangoni kwake nikagonga mlango…alichelewa sana kufungua ila alikuja kufungua. Kumuona tu nikatabasamu mpaka jino la mwisho siyo kwa yale mabusu ya jana! Ila mwenzangu alikua kakaza kama katoka vitani. "Mambo?" nilisalimia kwa kulegeza sauti ila mwenzangu akawa mkali "Unataka nini?" Pale pale nikanyong’onyea! Nikajiuliza imekuaje tena, jana ilikua mvua ya mabusu ila leo ni tofauti. Alafu anavyo niangalia sasa…utadhani nimekula hela yake ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments