ZARA❤️ SEASON (8) IMETOKA 144 MPK 149

ZARA❤️ SEASON (8) IMETOKA  144  MPK  149

⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ Sehemu ya 144 na 145. Mwandishi lissa wa huru media Mama melvin akanmbia zara ni ww mwanangu , et nambie ni ww, nikasema ndio ni mm mama, ni mimi zara, mama melvin akafurahi akanmbia jamani, shemeji yako marco anakutafuta sana zara jamani, ww ni mwema sana zara, oooh jamani, nikasema ahaaa alifanikiwa kumalaiza chuo, mama akasema ndio zara kwa sasa amepata kazi yeye ndo kila kitu kwetu, aseeeee nikamwambia sawa mama ,ni jambo jemaa, apo mda wote wanangu ni wamesimama wanashangaa tu, ndo mama akawaaangalia sasa, nyieeee nikaonaa anadosha tu chozi, akanmbia ni wajukuu wangu hawa si ndio. Nikasema

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments