RADHIA ✨✨ 04~07

RADHIA ✨✨ 04~07

04 Mwandishi: Kitty Fefe Siku moja ya Jumamosi jioni, nilikuwa nimekaa sebuleni nikikunja nguo zangu Amina aliingia akiwa na vijora viwili mkononi. Akanirushia kimoja. "Kijora chako hiko, tujiandae sasa." "Sawa." Siku hiyo kulikuwa na sherehe — rafiki wa Odo tatu alikuwa anaolewa, hivyo tulikuwa tumealikwa na kuchukua sare.Baada ya muda tulikuwa tushajiandaa wote – mimi, Amina, dada zetu Semeni na Rehema, pamoja na Odo tatu. Tukatembea hadi kwenye sherehe. Muziki ulikuwa tayari unapigwa na giza nalo lilikuwa limeanza kuingia. Tulipofika, wenzangu waliingia katikati ya kundi la watu kucheza. Mimi sikujisikia kucheza. Niliona bora nibaki pembeni nikishikilia pochi na simu zao,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments