YUGOSLAVIA: Hadithi ya Nchi Kubwa Ambayo leo IMEBAKI STORI!

YUGOSLAVIA: Hadithi ya Nchi Kubwa Ambayo leo IMEBAKI STORI!

Miaka ya 80 ungemwambia mtu kwamba una safari ya kwenda Yugoslavia hakuna ambaye angekushangaa. Ilikuwa ni nchi kubwa Ulaya. Ilikuwa na timu za mpira ilikuwa na jeshi. Ilikuwa na pasiport. Ilikuwa na rais. Ilikuwa na viwanda, wasanii, filamu na zaidi ya watu milioni 23 walikuwa wanajiita ni wananchi wa Yugoslavia. Leo ukiangalia kwenye ramani ya dunia Yugoslavia haipo. Imefutika imevunjika vipande vipande. Na jambo la kushangaza zaidi ni kwamba watu wengi wanaosikia kuhusu Yugoslavia leo wanajua tu habari za vita vya Bosnia, Kosovo au Sebia. Lakini hawajui kwa nini nchi hiyo iliundwa kwa mara ya kwanza na nani aliijenga na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments