
11 Mwandishi: Kitty Fefe Rahma alikuwa mtu wangu wa karibu sana tulikaa pamoja darasani, tulijisomea pamoja , na hata school bus tulikaa siti kimoja. Urafiki wetu ulikuwa wa dhati, na niliona kana kwamba nimepata dada wa damu. Siku moja nilikuwa nimekaa chumbani kwetu nikijisomea, Ghafla Amina akaingia, akazima taa akapanda kitandani kisha akasema kwa kejeli: "Hili sio darasa, ni chumba. Unataka kufanya hapa kuwa shule au?" 😏 Nilibaki kimya, nikijisikia vibaya sana, nikaanza kujibizana nae...dada zetu,odo tausi, mama,pamoja na shangazi wakaja kuuliza kuna nini....!? Nilibidi nielezee😓😓😓ila shangazi akawa upande wa mwanae "Hata kama unasoma, kuna sehemu na muda wake. Amina
0 Comments