Season Two 1---2 Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯

Season Two  1---2 Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯

Mtunzi: Mwaki Ze Karibu WhatsApp 0794810082 Sehemu Ya 1 Tulipo ishia Season One....... Hakika usimkatie Mtu Tamaa, hakuna ambaye alikuwa anaamini yule Adana kichaa Ndo Huyu Adana Wa Sasa, yaani Adana alikuwa anakula kwa mirija Huku akiwa ameanza kupata machawa Wa kutosha, Yaani Adana aligeuka habari ya Mtaa Huku kila Mtu akijiuliza Ubillionea kautolea Wapi, Lakini Hiyo haikuondoa ukweli kwamba Yeye ni Billionea. Endelea..... Utajiri Wa Adana ulikuwa unajadiliwa Kila Kona maana aliibuka tu na kutokea kama chafya, Hali Hiyo ilifanya Adana aitwe mpaka na vyombo vya uchunguzi vya serikali ili kuulizwa utajiri Wa gafla Vile kautoa Wapi, Lakini kama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments