Season Two 3 na 4 Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯

Season Two 3 na 4 Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯

Mtunzi: Mwaki Ze Karibu WhatsApp 0794810082 Sehemu Ya 3 Baada ya kuachiwa kufika pale Walipo panga aisee walikuta kwanza chumba Chao kipo Tupu yaani kama uwanja Hivi, kila kitu kilikuwa kimesombwa na kuibiwa!. "Eeeeee Baba Tausi Kwani Kodi imeisha!?" "Hata Mimi si Ndo nashangaa imekuwaje na Sijui Vitu Vyetu atakuwa kahamishia Wapi Huyu Mzee!!?" Wawili Hao Wakiwa wametumbua Macho waliulizana Pasina Kupata Majibu!. Basi Wakiwa wanaamini Mwenye nyumba Ndo kawatunzia Vitu Vyao ilibidi waende kuuliza Lakini waliambiwa mwenye nyumba kasafiri na Mkewe karibia Mwezi hawapo Pale nyumbani, Hata Walipo mpigia Simu Yeye alisema hajui lolote linalo endelea Mjini!. "Heeeee inamaana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments