PENZI LA JIRANI SEHEMU YA : 01

PENZI LA JIRANI SEHEMU YA : 01

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Jina langu ni Rayan Charles Baijuki, ila mtaani na shuleni watu wamezoea kunita Raya. Mimi ni mtoto wa pekee kabisa kwa mama. Baba alifariki miaka mingi iliyopita, kwahiyo nimelelewa na mama peke yake na tunaishi wawili tu☺️. Maisha yetu siyo ya kitajiri, hatuna gari wala nyumba ya kifahari, ila namshukuru Mungu hatulali njaa, mahitaji muhimu tunayapata. Mama alikua anajishughulisha na biashara ya kuuza nguo za mtumba za watoto wakati nilipokua nasoma Form 5 katika shule moja ivi ya bweni kule Korogwe~Tanga. Kiupande wa darasani, akili nilikuwa nazo sana, sema sasa utundu na ukorofi ndo vilikuwa vimepitiliza kiwango😆. Nakumbuka kuna

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments