USINIACHE MIMI TAFADHARI NAKUPENDA Epsd 6

USINIACHE MIMI TAFADHARI NAKUPENDA   Epsd 6

Mwandishi: Maggie Maggie My WhatsApp no 0744058444 Felix aliniambia sawa wacha niondoke kesho tuwasiliane sawa Nilimuitikia sawa kisha aliondoka nilipoona kaondoka nikaenda kumgongea crisis Crisis alitoka na kuniuliza vipi Nilimuambia huku najing'ata ng'ata nimekuandalia chakula cha jioni karibu mezani crisis Crisis alinitizama kisha akajibu asante nimeshakula huko nilipotoka Nikamuambia kwanini hata usionje kidogo crisis nimekaa jikoni nimekupikia mwenyewe kwa mikono yangu sokoni nimeenda Crisis akaniuliza kwanini efanya hivyo kwani sinilikuambia usifanye hivyo Nikamjibu nilijisikia tuu kukupikia nilitaka ule chakula cha mikono yangu miwili au nimekosea Crisis akamjibu sasa kwanini hukumkaribisha na huyo jamaako Nilimjibu kuwa sio kwaajiliyake Crisis akaniambia samahani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments