
Nilijiliza pale usiku kucha nilisha jua nimepoteza kiukweli nimepoteza Niliuzarau mbachao kwa msara upitao na majigambo nilimuonyesha nilimfanya hana maana tena duniani leo kikowapi Niliumia mnoo niliekuwa najivunia alikuwa hajanipenda kweli alinitamani tuu Hatimae palikucha nikiwa mlangoni kwa crisis najutia Muda wa crisis wakwenda kazini ulifika alipofungua mlango alishangazwa na kitendo kile Akaniamsha kaira unafanya nini mbona umelala hapa mlangoni Nilimjibu kuwa nilikuambia jana naogopa chumbani kwangu naomba kulala na wewe Ulipokataa niliona nibora nilale hapa kwani siwezi kwenda chumbani mwenyewe Crisis aliniambia haya sasa pamekucha amka nenda chumbani kwako pumzika kwani sizani kama utakuwa umelala hizuri Nilimjibu sijalala vizuri
0 Comments