USINIACHE MIMI TAFADHARI NAKUPENDA Epsd 9.

USINIACHE MIMI TAFADHARI NAKUPENDA Epsd 9.

Crisis alienda kumfuata Francesca na kumuomba wazungumze Francesca alikunali wakaenda sehem tulivu sana ni hotelini waliagiza na chakula pale wakawa wanakula taratibu hiku wakiongea Francesca alimuuliza Crisis vipi kuhusu Kaira hajambo Crisis alijibu hata sifaham kwani amekuwa mtu waajabu sana sikuhizi kiasi kwamba nashindwa hata kumuelewa Francesca akauliza kawa waajabu kivipi yaani? Crisis akajibu alinitosa mwenyewe sasa nimeshakuwa mzuri tena analia kilasiku akihitaji msamaha wangu Jana usiku alikuwa anarazimisha kuingia chumbani kwangu nikamkatalia eti anaogopa chumbani kwake Unavyodhani niukweli nilimgomea siakalala mlangoni mwa chumba changu Kuamka leo asubuhi nivitimbi vinazidi kuendelea kama kawaida kaamka na kuchukuwa kila kitu chake kaamua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments