USINIACHE MIMI TAFADHARI NAKUPENDA Epsd 13.

USINIACHE MIMI TAFADHARI NAKUPENDA Epsd 13.

Akiwa njiani alimpigia sim kaira na kumsalimia kisha alimuulizia mtoto anaendeleaje Nilimjibu kuwa aika wako yupo sawa kabisa usijali namuandaa aende shule sasa Crisis alijibu kuwa naweza kumsikia sauti yake Nilimjibu kuwa haina shida kisha nilimpa sim mtoto na kuongea na babaake Crisis alimuuliza hujambo mama Aika akajibu sijambo shikamoo baba Crisis alijibu marhabaa kipenzi changu uko sarama kweli Aika alijibu kuwa niko sarama baba Crisis akamuuliza je utaenda shule nanani au unakwenda na usafiri gani Aika alijibu mama huwa ananipeleka hadi shule kisha analudi kwenye mashamba yake Crisis akafurahi na kumuambia basi sawa jitahidi uwahi sasa ili usichapwe nitaongea

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments