USINIACHE MIMI TAFADHARI NAKUPENDA Epsd 12.

USINIACHE MIMI TAFADHARI NAKUPENDA Epsd 12.

Crisis alifika kwake na kumkuta mkewe akiwa amevimba macho kwa kilio Crisis alimuuliza mbona unalia Sana kipenzi kwanini unapenda kujiumiza jamani Francesca alimjibu naomba uniambie kaira aliipata lini mimba na hadi huyo mtoto ana miaka saba leo Usitake kuniambia ulikuwa unalala nae au unataka kuniambia nini Crisis alimjibu kuwa sikuwa nimekuambia kwanini aliamua kuondoka sikuhiyo Unakumbuka usikuwa wa jana yake tulikunywa mimi na wewe na nililewa sana Ukweli nikwamba nilipoingia chumbani kwangu nilisahau kufunga mlango Kaira alikuja na kusukuma akaingia na kuanza kufanya michezo yake Sikujitambua hadi asubuhi ilipofika nikamkuta kajilaza kwangu hivyo nilikuwa sijui yaliyotokea usiku kucha Ndipo nikamfukuza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments