VICK 04&05

VICK 04&05

SEHEMU YA TATU Salome hakuwa tayari kututambulisha kwa mpenzi wake, hivyo tuliamua kuachana naye na sikutaka kumlazimisha. Nililala zangu huku wao wakielekea kwenye shughuli zao za usiku. Kesho yake asubuhi na mapema, nilielekea ofisini kwa yule kaka wa Posta na kulikuta gari langu likiwa limepakiwa pale, lakini walinda usalama waligoma kunikabidhi funguo hadi bosi wao atakapofika. Nilikaa pale nje nkimsubiri. Baada ya muda mfupi, alifika akiwa kwenye gari lake la kifahari. Aliposhuka, alinipita kana kwamba hanioni kabisa, jambo lililonifanya nijiulize ana matatizo gani ya dharau baada ya kunisaidia. Nilimfuata nyuma hadi ndani ya jengo lile ambalo lilikuwa ni kampuni kubwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments