WHEN LOVE CHANGED HIM 16

WHEN LOVE CHANGED HIM 16

WHEN LOVE CHANGED HIM SEHEMU YA 16 Chris aliingia kwenye gari akaondoka Moja kwa Moja hadi kwa Joel Upande wa Nanah alimpigia sm mama yake huku akilia "Nini shida mwanangu mbona unalia " "Mama Chri Chri chris kunipiga " "Nini kwann akupige umefanya nini ?" "Sijafanya kitu ila anasema eti kwasababu jana nilienda party bila kumuaga wakati nilikuwa nimeshamwambia na akanikubaria ila amekataa na kunipiga " Baba yake Alikuwa pembeni aliposikia hivyo hakutaka hata kuongea alitoka na kwenda nje akaingia kwenye gari na kutoka kwa mwendo mkali, mama yake nae alikata sm na kutoka na yeye "Nyie kimewaka huku nasikia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments