WHEN LOVE CHANGED HIM 17

WHEN LOVE CHANGED HIM 17

WHEN LOVE CHANGED HIM SEHEMU YA 17 "Hivyo ndivyo wanavyoomba msamaha?" Aliongea mama Nanah, Chris alimuangalia Kisha akasema "Mama nimeomba msamaha kwasababu sikutakiwa kumpiga tafadhali naomba mnisamehe sana, Nanah naomba unisamehe sana mke wangu na kuahidi sijaturudia" Joel alimuangalia Chris asimuelewe kwann anafanya vile , baada ya kuomba msamaha baba yake Nana alikubari na kumpa onyo kali Kisha wakaondoka na kuwaacha wakiwa watatu "Chris ndio ulikuwa ukifanya nini hapa " "Nilikuwa naomba msamaha si umemsikia mwenyewe akisema kuwa ni empiga bila kosa ,so nilitakiwa kumuomba msamaha kwakumuonea si ndio Nanah? " Nana hakuongea kitu zaidi aliniinama Kwa aibu . Joel

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments