WHEN LOVE CHANGED HIM 21

WHEN LOVE CHANGED HIM 21

Hapana nitakuwa nae karibu kwaajili ya kutaka connection basi Maana Chris alivyo ikitokea akasanuka inshu itafika hadi mahakama ya mbingu,ila nimechoka maisha ninayoishi na Chris si Yale niliyokuwa nawaza yani Kila kitu Kiko tofauti n mtarajio yangu " "Bwanaee umeamua yule mbona unaweza kumpeleka unavyotaka ,alafu suala la kzi kwann usitafute mfanyakzi kuliko kugombana kwa vitu vidogo vidogo " Kabla Nanah hajamjibu sm yake iliita alishtukaa baada ya kuona aliekuwa anampigia. TUENDELEE Mpigaji alikuwa ni Hemed ex wake "Vp ni nani tena" "Nani mwingine zaidi ya Hemed, ila nyie huyu mpuuzi ni king'ang'azi sijawahi kuona ,sema ana haki ya kuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments