MOYO UKIPENDA 21 (MWISHO)

MOYO UKIPENDA 21 (MWISHO)

“ MWANANGU KIPENZI NA MWANANGU WA PEKEE IYAN, NAJUA WAKATI UNASOMA BARUA HII NITAKUWA NIMESHAKUFA…. Najua mimi ni mkosaji sana kwako na najua hauwez kunisamehe kwa nilichokifanya kwa mwanamke wako, ni kweli mwanamke wako alikuwa anakupenda sana mimi mama yako nikamtengeneza mwanaume akaenda kumuingilia bila ridhaa yake tena akawa hata hajitambui, najua hilo lilikuuma sana, nikataka kwa kufanya hivyo umchukie ila badala yake nikajikuta nakugeuza mlinzi wake binafs, maana ulikuwa unamfuatilia sana na ulikuwa unaenda kila anapoenda kama kivuli chake, sikutaka kumfanya huyo mwanamke aingie kwenye familia yangu, kwa sababu sikuwa nataka damu za kimaskin ila kumbe nilikuwa nampoteza mwanangu,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments