
TULIPOISHIA Joel unajua kiasi gani nisivyopenda ugomvi Wala makelele kwa hiyo nafanya yote kwasababu nataka amani Na hilo ndio linakuponza broo yani sijui hata niseme nini unielewe ila kama unaona unaweza fanya hivyo na una amani fanya kesho kutwa tunakuja kukuona tunakuta uko bz na Niko mke yuko bz anachat tu Dah TUENDELEE Ndio simama kiume tetea ndoa yako ,Kama alishindwa kufunzwa na wazazi wake basi mfunze wewe ukishindwa atafunzwa na Dunia ila usichepuke tafadhali utakuwa unaharibu Bro asante ngoja niondoke Fresh and vip kuhusu gari ulikoagiza Aisee naomba unisaidie kufuatilia maana akili yangu haiko sawa Ndio unatakiwa kufika kabla
0 Comments