WHEN LOVE CHANGED HIM 23

WHEN LOVE CHANGED HIM 23

TULIPIISHIA Walinogewa na kutamani kwendelea Ray alimbeba hadi chumbani huko habari YOTE ikaishia pale, baada ya tendo Nanah aliomba kuondoka Ray akawa hatamani kumuache aende ila Nanah alimuomba sana mwisho akamuelewa ila akaomba ampeleke hadi nyumbani Nanah alikubari akaingia bafuni na kuoga Kisha akavaa tayar kurudi nyumbani Huku Kwa Chris alikuwa amejilaza kwenye sofa huku akimsubiri mke arudi TUENDELEE CHRIS alikuwa Kila mda anaangalia mda uvumilivu ulimshinda akampigia sm iliita tu bila kupokelewa, kwa Nanah sm alikuwa katoa sauti maana alijua vyema kuwa Chris atampigia Waliingia kwenye gari na kuondoka baada ya mda mfupi walifika nyumba ya tatu mbele ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments