
TULIPIISHIA Nanah tafadhali naomba usinifanyie hivyo basi make wangu itakuwa ni mda mfupi tu" "Kwani Chris we Huwa haulewi kiswahili au shida Nini nimekwambia siendi khaa mfyuuu " "Sawa " Chris alijibu na kuondoka kinyonge Jioni ilipofika alijiandaa na kuondoka alipotoka tu na Nanah akava na kutoka kwenda kwa Nancy TUENDELEE Nanah alifika nyumbani kwa Nancy akakuta na Lizzy yupo walisalimiana kisha akakaa "We Nanah kwani Chris anaumwa au " aliuliza Lizzy "Hapana kwann " "Nimeonana nae leo mbona kakonda vile yani uso Hun Nuru kabisa nilitamani hata kumuuliza Shem unaumwa ila kwakuwa Sina mazoea nae nikamsalimia tu " "Wala
0 Comments