
TULIPIISHIA Haliuri na hofia kusema anaweza kuondoka dakika yoyote Chris aliumia sana kuona maisha ya mtu yakipotea tena yeye ndio akiwa kisababishi aliomba kwenda kumuona Joel akaongea na dactari wa zamu akawa rihusu kuingia Chris machozi yalimtoka aliponiona yule binti kwa harak haraka alikuwa na umri chini ya miaka 25 . Alisogea na kumuangalia namna livyoumia “nisamehe kwasababu yangu umelala hapa “ Nimeenda matani kufuatilia ndugu zake nimeambiwa Hana ndugu “ Baada ya Joel kuongea hivyo Chris alimuangalia tena kwa huruma kisha wakatoka TUENDELEE Baada ya kutoka mle wodin alitaka kuondoka akamuone Nanah kweli yuko sawa? Ila alishindwa kutokana na
0 Comments