
TULIPOISHIA Bro hizi Shem Kawa muigizaji? Namuona kwenye tv au namfananisha" "Joel sijui chochote ila ndio yeye" "Duh Haya bwana pole " Joel alikata sm Chris alibaki akiwa anajiuliza huyu ni Nanah au, imekuwaje anachukia hatua kama hii bila kunishirikisha TUENDELEE Mda huo huo aliingia Nanah akiwa kavaa kinguo kifupi tofauti na alivyotok asubuhi Chris aliamka akionesha kuchukia "Nanah ndio hiki" aliongea alimuonesha kilichokuwa kiliendelea kwenye tv "Umeanza,nimimi au utasema Kwann sikukuomba ruhusa maana kwenye suala la ruhusa ulitkiwa upewe tuzo". "Hivi Mimi ni nani kwako " "Mume wangu " "Una uhakika kwamba mimi ni mume wako kama Mimi ni
0 Comments