
TULIPOISHIA Kesho yake asubuhi aliamka na kukuta chakula kikiwa mezani kama alivyokiacha alitaka kwenda kumgongea ila akaona ni mapema sana, akaendelea na kazi zake Baada ya kufanya usafi aliingia jikoni aka andaa chai na kwenda kumgongea lakin hakuitikiwa aligonga sana kukawa Kimya Hofu ilimuingia akahisi huenda kuna kitu kibaya kimemkuta haraka aliingia Aliigwa na butwaa baada ya kukuta Chris akiwa amelala chini TUENDELEE "CHRIS "Aliita Doris na kumkimbilia alimshika na kusikiliza mapigo y moyo yalikuwa ya kidunda japo Kwa mbali haraka litoka nje na kumuita mlinzi wakambeba hadi kwenye gari n kumpeleka hospital Walifika mgonjwa akapokelewa na kwenda kupewa huduma
0 Comments