WHEN LOVE CHANGED HIM 33(MWISHO)

WHEN LOVE CHANGED HIM 33(MWISHO)

TULIPOISHIA Kutokana na pressure akaona aende kwa Nancy kwanza ili ajitulize anafika anakutana na surprise TUENDELEE Aliishiwa pozi baada ya kukuta Nancy na Hemed wakifanya mapenzi tena seblen Cha ajabu hawa kushtuka Nanah aligeuka na kuondoka huku akilia moyoni alijuta sana kwa kile alichomfanyi Chris alioña hata aibu kusimama mbele yake Alikaa chini na kulia kwa uchungu Sana aliwaza atamuangaliaje Chris alipata wazo akaona Bora aende kwa Lizzy aende akalie kwnza, alichukua usafiri na kwenda hadi nyumbani kwa Lizzy . Alifika akamkimbilia huku akilia Lizzy alishangaa na kuhisi labda kuna tatizo, ikabidi apate kazi ya kuanza kumtuliza . Baada ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments