WHEN LOVE CHANGEED HIM 32

WHEN LOVE CHANGEED HIM 32

TULIPOISHIA Baada ya kuwaza sana Alichukua sm nyingine ambayo Chris hakuwa na namba yake akahamisha picha ambazo Nanah alimtumia wakiwa na Ray tena picha zingine zilikuwa kimahaba Zaid , baada ya kuhamisha alizituma kwa Chris alipoona zimefika alitoa ile line na kuweka ile sm kwenye droo Kisha akalala huku akiwa na mawazo y kwenda ofisini kwa Chris kesho yake TUENDELEE Asubuhi na mapema Doris aliamka akafanya usafi na kuandaa chai mezani Kisha akaenda kumaumsha baby wake ,akamuanda kwenda kazin Baada y kumaliza kumuandaa na kupata chai Chris alienda kzn akimuacha Doris nyumbani Mid ya saa nne Doris akiwa anajiandaa kutoka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments