
Mwandishi; lissa wa huru media Basi bibi mie maisha ya dar yakaanza , kweli shemji aliniacha pesa, nililipa kodi apa tunapoishi mie wala.sikutka kuhama, kish pes zengine nikaongeza mtaji, nikanunua na vifaa vya kisaza vya kupikichakura, na nikaanza kuuza na chipsi mchana, nyieee nilokuwa napambna ,alafu nilikuwa na idea za biashara mpak pamela alikuwa annipendaa ,yani annipendaa mnoo, mana jilivyokuwa sipo, biashara kama alipoa ila nilivyorudi, biashara ikahangamka mnoo, apo sasa marco kil siku ananipigia simu, anataka kuongea na wanae ,na vipesa pesa, anatumaa. Kwaoyo njaaa ikanipungua na biashara nikawa nafanya tu. Basi bwanaaa apo wanamgu nimewapeleka shule wanaenda kucheza
0 Comments