
Tour, Tour... Hizi ndio zilikuwa habari zilizokuwa on trend chuoni kwetu. Kila mahali ilikuwa ikiongelewa hii tour. Sio last year wala sie hapa first year, kila mtu alisema lazima niende, lazima niendeee. Hata mimi nilisema lazima niendee, yaani afe kipa afe bekiii lazima niendeee. Chuo bwana kiliandaa Tour, wakaipa jina Royal Tour. Unajua kwanini? Yaani pale chuoni kwetu bwana watoto wa madon walikuwa kibao, kwahiyo hii ilitakiwa kuwa tour ya kifalme. Twende ki boss tuvimbee huko full kujiachia. Wakasema tunaenda kwenye mbuga flani hivi huko kila mtu akaoneshe. Yani sie bwana, kile chuo mi sijui nilienda bahati mbaya mwaya. Mimi
0 Comments