
Ilipoishia eps 30 Dick alibadilika alikua mtu wa kisirani,kitu kidogo napigwa,watoto anawafokea tena akazid akawa harud nyumban. Sikutaka kuondoka maana nimemjua Dick kwa miaka mingi nikajua fika kuna nguvu za ziada zinatumika juu ya mume wangu... Siku moja niliona kitu cha kushangaza kwa Dickson wangu.......... Songa nayo...... Kwenye singlend yake kulikua na kama masinzi mekundu,nilishangaa Sana,nikamuuliza nikaishiwa kupigwa.nilisali sana kumuomba Mungu aisimamie ndoa yangu. Lakin bado mambo yalikua magumu. Nilikua nashindwa kulala akichelewa kurud lakin nikaona bora nijipumzishe. Akawa hata arud saa 11 alfajiri simuulizi,nikawa simfutilii chochote. Nikawa nikijua yupo nyumban nakuja na gari la mmoja wa marafiki zangu wa
0 Comments