A TOUR TO REMEMBER 13

A TOUR TO REMEMBER 13

Nikajiwazia hapa lazima niwe jasiri, ninachoendelea nitaaibika mie kweupe. Akaniitazama. Wakati bado nawaza hapa natoka vipi, mana hata sijui nimeingia vipi, akayasema: "Unanipenda?" Lilikuwa shambulio la ghafla sana kwangu; ni kama mtu akuvamie kwa nyuma ukiwa bado hujajiandaa. "Akhaaa, mfyuu!" nilijibu kwa kupayuka kama vile nimepigwa shoti ya radi au nimekurupuka kwenye usingizi uliokuwa na ndoto ya kutisha sana. Nikamsukuma ili niondoke zangu, lakini alikuwa mgumu kweli mana sikuweza kusogeza hata hatua moja. Alinirudisha nikasogea na kuegamia ule mwamba, akashika mikono yangu akaibana kwenye mwamba, afu akanitazama kwa ukaribu zaidi hata ya ule wa mwanzo. "Unanipenda?" akarudia swali lake. Moyo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments