A TOUR TO REMEMBER 15

A TOUR TO REMEMBER 15

Baada ya kunikumbatia kwa muda aliniachia akanambia, "Njoo tukae hapa." Alinishika mkono akanivuta pembeni kidogo kulikuwa na miti na chini kuna nyasi fupi, tukawa tumeketi hapo. "Kwahiyoo Salma, we ni mpenzi wangu mmmhuu?" akaniuliza swali ambalo lilifanya nicheke sana. "Mashaallah, unapendeza sana ukicheka, huwa naona wivu ukiwachekea wengine ujue." "Toka hapa we muongo!" Hapo niliongea, ungeisikia hiyo sauti hata mimi nilishangaa mbona siijuii. "Nooo! Lini utaacha kuniita muongoo?" "Sijui lakini naamini we muongo bwana, huyo Edda unakataa sio mpenzi wako." "Ni Edda tu ndie anayekuumiza kichwa? Nambie vyote afu mimi nitaweka sawa." "Hata haniumizi kichwa bwana, sio kawaida mimi umenijua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments