A TOUR TO REMEMBER 24

A TOUR TO REMEMBER 24

Nikamuuliza vipi kuhusu mie ?? ,vile napenda sifa sasaNilijiona nimefika baada ya kusifiwa, nikajishaua akhaa tumejuana tour na ndio mahusiano yetu yalianzia huko ,akachekaaa Hahah salma bwana, okay we jua hivyo tumejuana kwenye Tour ila mie najua nilianza kukujua wapii!!" Nikamuuliza "kwahyo ulianza kunijulia wapii??" "Nitakwambia siku ingine lakini nashukuru salma kwa kuja Asante sana si umenisamehee??" Aliongea akiwa ameishika mikono yangu akai kiss "Umepona sasaaa" namie nilimuuliza kwa utani huku namshika paji la uso kupima joto lake "Nimeponaaaa!!" Akanikumbatia nyie nilisikia raha sanaa baada ya kuona karim yaani amechangamkaaa mbayaa amechangamka sio mchezo , tofaut na nilivyo mkuta ,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments